DUNIA IMEFIKA TAMATI MAASI YAMESHIKA HISABATI

Mpenzi msomaji wa mtandao huu wa DAIMA ANGAZA Natumaini mko wazima wa Afya. Leo kwenye uwanja wetu tumeamua kupita na habari hii ya Ulimwengu kwenda ndivyo sivyo huku Ibilisi (Shetani) Akizidi kuwapoteza wana wa ADAMU (Binadamu) ili apate kuingia nao motoni kama alivyoahidiwa na MWENYEZI MUNGU kuwa yeyote atakaye shikamana na mambo ya Shetani ataingia naye motoni.
Tazama Dunia ilipofikia Mwanaume anadiliki kufanya mapenzi na Mwanaume mwenzie!!!!!! Tena kwa madaha kana kwamba yuko na jinsia ya kike!!!!!!!
Sasa wewe kama mdau wa DAIMA ANGAZA Jiulize maswali haya ili uweze kubaini kuwa Shetani anatutafuta ili atakayekubali mambo yake naye aingie motoni.

1. JE' SHETANI ATAKUACHA KAMA UKIMUACHA MWENYEZI MUNGU???
2. JE ' UNADHANI UKIFA UTOULIZWA YALE ULIYOKUWA UKIYATENDA HAPA DUNIANI???
3. JE" UNAWEZA KUUIMILI MOTO WA JEHANAMU????
Hakika kwa mwenye akili atajua kuwa haya yanafanyika ili Shetani apate wafuasi wengi wa kuingia nao motoni............

Nchini Uingereza mtu mmoja aliyefahamikia kwa jina la Nicholas Chambarlin ambaye ni Askofu wa Kiangelikana alitangaza wazi wazi kuwa yeye ni mmoja wa walio kwenye mahusiano ya jinsia moja. Hii imepelekea watu kama awa kuupoteza ulimwengu kwa tabia hii ya Jehanamu.

INAUMA SANA MAANA UNAWEZA KUMUONA MTU NI MTU KUMBE NI MNYAMA TU.
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment