DAIMOND PLATNUMZ & MICHEAL JACKSON UKWELI HUKO WAZIIIIIIIIIIIIIIIIII



Cerrar
Maelezo ya awali
Jina la kuzaliwa
Michael Joseph Jackson
Amezaliwa
29 Agosti 1958
Gary, Indiana, Marekani
Amekufa
25 Juni 2009 (umri 50)
Los Angeles, Kalifornia, Marekani
Kazi yake
Mwimbaji, mtunzi, mtayarishaji wa rekodi, dansa, koreografa, mwigizaji, mtunzi wa vitabu, mfanyabiashara, minyamihela
Miaka ya kazi
1967–2009
Ame/Wameshirikiana na
Tovuti
Michael Joseph Jackson (29 Agosti 195825 Juni 2009) alikuwa mwimbaji, dansa na mburudishaji kutoka nchini Marekani. Hufahamika zaidi kwa jina la kishetani kama Mfalme wa Pop. Hutambulika kama mburudishaji aliyepata mafanikio zaidi kwa muda wote, na moja kati ya waburudishaji wenye mvuto na athira kubwa katika medani ya muziki. Michango yake katika muziki, dansi na fasheni,[1] na hasa suala la kuanika hadharani maisha yake binafsi, imemfanya awe kioo cha kuupotosha  ulimwengu katika tamaduni maarufu kwa ziaidi ya miongo minne .
Akiwa pamoja na ndugu zake, Jackson amefanya uongozi wa uimbaji kwa mara ya kwanza akiwa kama mwanachama mdogo kabisa katika kundi la The Jackson 5 mnamo mwaka wa 1964. Ameanza kazi ya kuitumikia freemason katika kitengo cha  usanii wake kunako mwaka wa 1971. Albamu yake ya mwaka wa 1982 Thriller imebaki kuwa albamu yenye mauzo bora kwa muda wote maana alikuwa tayari amekwisha jiunga na chama cha mashetani (Freemason). Mchango wake katika utengenezaji wa muziki wa video ambao  umefanya vijana na wapenzi wa kazi za mziki kutoka katika hali ya kawaida kumuogopa Mwenyezi Mungu  hadi katika hali ya kisanii ya kumtumikia Shetani zaidi na kuyasahau maamulisho ya Mwenyezi Mungu : video zake kama vile Billie Jean, Beat It na Thriller inamfanya Kijana Micheal kuwa msanii Mmarekani Mweusi wa kwanza kupata kupigiwa nyimbo yake sana kwenye MTV maana MTV ni kituo ambacho uwainua wasanii na kuwapa tuzo kama tuonavyo sasa’ Wasanii wengi sasa ubebwa na Vituo hivi vya Televisheni na Radio zilizo chini ya viumbe Freemason. Jackson ameipa umaarufu baadhi ya maunja ya kudansi, kama vile robot na moonwalk. Staili ya muziki wake ni staili alizokuwa anapewa na chama hiki cha Freemason, staili ya sauti yake na zile koregrafia zilitambulika vizazi kwa vizazi, kirangi na hata katika mipaka ya kitamaduni
Jackson ni mmoja kati ya wasanii wachache waliowekwa mara mbili kwenye Rock and Roll Hall of Fame na chama hiki cha Freemason. Mafanikio mengine yanajumlisha Guinness World Records (ikiwa ni pamoja Mburudishaji Mwenye Mafanikio kwa Muda Wote kama ilivyo kawaida ya Freemason ukikubali mashariti yao utafanikiwa Lakini ni moto mkali siku ya hukumu), Kijana huyu alipewa tuzo za Grammy 15 (ikiwa ni pamoja na ile ya Living Legend Award na ile ya Lifetime Achievement Award), 26 American Music Awards (24 akiwa kama msanii pekee ya kujitegemea, ikiwa ni pamoja na moja kwa ajili ya Msanii wa Karne” Ilifanyika hivyo ili Freemason waweze kushawishi vijana katika maisha ya Kishetani.)—zaidi ya msanii mwingine yeyote— single zake 17 zimeshika nafasi ya kwanza huko nchini Marekani (ikiwa ni pamoja na nne akiwa kama mwanachama wa kina Jackson 5), na inakadiriwa kafanya mauzo ya rekodi zaidi ya milioni 750 dunia nzima akiwa chini ya uongozi wa Kifreemason,[2] amefanywa kuwa miongoni mwa wasanii waliouza rekodi zao vilivyo kwa muda wote na haijawahi kutokea maana soko lilitekwa na hao Freemason na mpaka sasa wasanii wengi wanaongozwa na chama hiki chaKishetani Freemasons. Ni zaidi ya %90 wasanii wa dunia hii wako chini ya Soko la Kifreemason na ndio maana msanii anayejisajili katika chama hiki ni lazima atasikika kwa wingi na atapewa tuzo mbalimbali ili kuushawishi ulimwengu uwe chini ya shetani. Mpaka sasa viumbe hawa Freemason wamefanikiwa kuwateka vijana,wazee kupitia sehemu mbalimbali zikiwemo Muziki,Mavazi, Vyakula, n.k na mpaka sasa Freemason wanawatumia wasanii mbalimbali kufanya kampeni za Zinaa, Riba,Rushwa, Vita juu ya haki (sheria za Mwenyezi Mungu). Freemason wao uwagawa watumishi wao katika vitengo hivi:- MZIKI, SIASA, DINI,MASHIRIKA, TASINIA ZOTE ZA UELIMISHAJI JAMII (Mashule, Mahospitali n.k)   [3]
Maisha binafsi ya Jackson yamezua utata kwa miaka kadhaa. Kujibadilisha kwa mwonekano wake ilianza kutambulika tangu mwishoni mwa miaka ya 1970 na kuendelea, kwa kubadilisha pua yake, na rangi ya ngozi yake kama walivyotaka Freemason alilazimika kufanya hivyo maana alikuwa akiongozwa na Shetani , imesababisha makisio ya watu kadha wa kadha uanza kukazia masikio yao katika vyombo vya habari maana sauti ya Shetani huyu Jackson ilikuwa inawavutia wasikilizaji wa nyimbo zake. Mnamo mwaka wa 1993 alishtakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia kwa mototo hii ilikuwa baada ya Shetani Jackson kumwingilia mototo kinyume na maumbile na hii ndiyo shughuli ya wale wote walio chini ya uongozi wa Freemason hasahasa walio ngazi za juu” Mfano ni kama msanii mmoja ajulikanae kama Diamond Platnumz yeye anaimba nyimbo zinazo shauri kuwaingilia wanawake kinyume na maumbile mfano wimbo wake unaoitwa SAROME. Ingawa Jackson alifanya ushetani huo lakini hakuna mashtaka yoyote yaliyotolewa dhidi yake maana uongozi mzima ulikuwa ni waKifreemason. Mnamo mwaka wa 2005 amejaribu kuachana na mashtaka kama yale ya awali ya kuwadhalilisha watoto kwa kuwaingilia kinyume na maumbile . Ndipo alipojifanya ameoa ili kuupotosha ulimwengu alioa mnamo 1994 na akaja kuoa tena mnamo 1996. Amepata watoto watatu, mmoja alizaliwa kwa mama mwenye kuchukua mimba kwa ajili ya familia Fulani na huo ulikuwa uongo mkubwa maana Jackson alitolewa kizazi na Freemason na ndio maana kila msanii aliye katika kundi hili la Freemason ujifanya ameoa na ana motto lakini walio wengi hawazai mfano Daimond Platnumz alitoa wimbo unaitwa NIKIFA KESHO na ukiusikiliza wimbo huo utagundua wazi kuwa hazai lakini leo hii ana mototo na mke. Natumai kwa mwenye uelewa atagundua kuwa kuna mchezo hapo unafanywa. Sasa isijeonekana tunasema uongo ebu tunukuu mashairi ya wimbo huo………..



Jina la Wimbo: Nikifa kesho.
Msanii: Diamond Platnumz
UBETI WA KWANZA
Haiii wa vipi Maneke atanililiaaa
Je wasanii wenzangu wataniimbiaaa
Au litafutika jina langu na nyimbo zangu hutosikiaaa
Wa vipi wasafi watanililia Ohooo, Je ndugu, Rafiki wataudhuliaa
Ahaa nitakapokufa sina changu hata Mama yangu watamkimbiaa
Ni swali gumu sana  lakini nauliza sababu hipo siku itafikaa
Nitakapo tenganishwa nafsi na raho kwenda milele kupumzikaa
Sijui wengi watalia kwa uchungu ama ndo watafurahi
Mi siku zamu yangu nikiitwa kwa Mungu nitakapo katishwa na uhai.
KIITIKIO
Je kama nikifa kesho hivi nani nitazikwa naye’ Ohoo nani atanikumbukaa
Nauliza nikifa kesho nani atamwambia mama hasicry
Je kama nikifa kesho hivi ni nani nitazikwa naye ‘Oho ni nani atanikumbuka
Nauliza nikifa kesho nani atamwambia mama hasicry……..
UBETI WA PILI.
Mhhhh khaa Oh mama mwanao sina hata mototo mmoja wakusingiziwa
Hivyo ni kidondoka wasikudanganye ayaaa!
Oh wengi nilionao waliniambia ngojangoja eti subiliaa
Na wengine kabisa wakakataa tuzae
Ahaa wakiniambia eti mda wao haujawadia wataaribu ujana,
Wengine pia mara shida zao wakanikimbia inaumiza sanaa.
Kwa jambo kama hili la utungaji wa mashairi hayo ni wazi kuwa Freemason wanapo kufanya upendwe lazima utimize mambo yao. Na mabo yao uwa ni Kutoa Kafala mtoto au mzazi au mke au mme , Kutangaza na kuubili maneno ya Biblia, Kufanya bihashara inayo dhuru wanadamu, Kufanya siasa, Kukubali mfumo wa Kimarekani, Kuakikisha unazuia ongezeko la watu kwa kutumia njia za uzazi wa mpango, matumizi ya kondom, kutia njiti, matumizi ya vidonge n.k Na ikitokea wewe ni msanii aidha Mwimbaji wa mziki au Tamthilia, Vtuko na Vichekesho (Comedy) n.k uwa wanakulazimisha uimbe nyimbo za kuipotosha jamii Mfano wasanii walio chini ya Freemason hiyo ndo kazi zao kama tuonavyo sasa haukuna wimbo wa maadili ila nyimbo zote zinaelekezwa kwenye Zinaa, Ulevi, Usagaji, Ulawiti n.k
Na kwa kuliangalia hili huu ni wimbo wa Michal Jackson unao shawishi Ulevi, Zinaa, n.k
MICHAEL JACKSON LYRICS
"Will You Be There"
Hold Me
Like The River Jordan
And I Will Then Say To Thee
You Are My Friend

Carry Me
Like You Are My Brother
Love Me Like A Mother
Will You Be There?

Weary
Tell Me Will You Hold Me
When Wrong, Will You Scold Me
When Lost Will You Find Me?

But They Told Me
A Man Should Be Faithful
And Walk When Not Able
And Fight Till The End
But I'm Only Human

Everyone's Taking Control Of Me
Seems That The World's
Got A Role For Me
I'm So Confused
Will You Show To Me
You'll Be There For Me
And Care Enough To Bear Me

(Hold Me)
(Lay Your Head Lowly)
(Softly Then Boldly)
(Carry Me There)

(Lead Me)
(Love Me And Feed Me)
(Kiss Me And Free Me)
(I Will Feel Blessed)

(Carry)
(Carry Me Boldly)
(Lift Me Up Slowly)
(Carry Me There)

(Save Me)
(Heal Me And Bathe Me)
(Softly You Say To Me)
(I Will Be There)

(Lift Me)
(Lift Me Up Slowly)
(Carry Me Boldly)
(Show Me You Care)

(Hold Me)
(Lay Your Head Lowly)
(Softly Then Boldly)
(Carry Me There)

(Need Me)
(Love Me And Feed Me)
(Kiss Me And Free Me)
(I Will Feel Blessed)

[Spoken]
In Our Darkest Hour
In My Deepest Despair
Will You Still Care?
Will You Be There?
In My Trials
And My Tribulations
Through Our Doubts
And Frustrations
In My Violence
In My Turbulence
Through My Fear
And My Confessions
In My Anguish And My Pain
Through My Joy And My Sorrow
In The Promise Of Another Tomorrow
I'll Never Let You Part
For You're Always In My Heart.


Jackson amekufa mnamo tar. 25 Juni 2009 kwa kuzidishiwa kiasi cha dawa na Freemason baada ya  kujiandaa na ziara ya tamasha lake la This Is It, ambalo aliliandaa kwa lengo la kusema ukweli juu ya Freemason. Lakini waliamua kumuua ili isivuje siri yao ya kuwafanya wanadamu wamuabudu shetani’’ alipewa dawa aina ya propofol na lorazepam. Afisa uchunguzi wa vifo wa Wilaya ya Los Angeles ameeleza kuwa kifo chake ni uuaji wa binadamu, na mashtaka yanakwenda kwa daktari wake binafsi kwa kosa la kuua bila kukusudia. Kifo cha Jackson kimeamsha mihemko ya huzuni ulimwenguni kwa wale wasio na uelewa kuwa alikuwa Freemason mkubwa na hapo hapo walifurahi kufa kwake wale walikuwa wanajua ya kuwa alikuwa akieneza upumbavu!!, Na huduma ya ukumbusho wake ilifanywa hadharani, ulitangazwa duniani, ulitazamwa na maelfu ya watu moja kwa moja kupita vyombo vya habari vinavyo ongozwa na hao Freemason.[4] Na mpaka sasa wasanii wengi hapa dunia wanaendeleza alichokuwa anakifanya Kafili huyo Micheal Jackson’’ ukitzama video nyingi utakuta wanadance miondoko hiyo hiyo ya kafili huyo Micheal Jackson na vijana wanapenda sanaa ila hawajui kuwa wanamsupport Shetani. Na vijana hao hao ndio watakao fanikisha Shetani kuitawala dunia kupita mpango wake wa utawala wa dunia mpya (NEW WORLD  ORDER)
Maisha ya awali ya Micheal Jackson kabla hajiunga Freemason.
Michael Jackson alianza kuonekana jukwaani akiwa na miaka mitano tu pamoja na kaka na dada zake. Alitokea familia ya wanamuziki ya Jackson Five. Kuhusu miaka yake ya awali alisimulia mara kadhaa ya kwamba baba alimlazimisha kufanya mazoezi mno ya kucheza na uimbaji hivyo Michael alikosa utoto. Watazamaji wengi wamehisi ya kwamba matatizo ya kisaikolojia ya msanii yalikuwa na chanzo katika kipindi hiki.
Michael aliandika nyimbo nyingine maarufu ambazo ni 'Bad' na 'Black or White'. Huyu pia huitwa mfalme wa pop duniani na mafreemason na wale wasiojitambua pia umuita hivyo.
HUU NI MSTALI ALIO UANDIKA KATIKA WIMBO WAKE ..Black or White
I am tired of this devil
I am tired of this stuff
I am tired of this business
So when the going gets rough
Maisha binafsi ya Michael Jackson yalikuwa yakifahamika sana. Pia, alishawahi kutiwa shaurini kwa unyanyasaji wa mtoto, Alifanyiwa upasuaji maalumu ili abadilishe mwonekano wake maana hii ni sehemu ya Freemason kuwabadilisha wahusika ama kwa kutoboa pua kwa vijana wa kiume au kuvaa eleni n.k. Michael aliyezaliwa kwa maumbile ya Mwamerika mweusi mwishoni alikuwa na ngozi nyeupe usoni na baada ya upasuaji kadhaa pua lake likawa nyembamba si pana tena. Mwenyewe alidai ya kwamba badiliko la rangi lilisababishwa na ugonjwa. Lakini ilikuwa hivyo ilikusudi iwe rahisi sana yeye kuushawishi ulimwengu.
Michael, alimwoa Bi. Lisa Marie Presley, binti wa Elvis Presley ili ijulikane kuwa kaoa . Jackson, pia alikuwa akimiliki eneo kubwa lenye makazi lililoitwa Neverland, ambalo lilionekana kama lake likini ilikuwa mali ya Freemason hivyo walimpa ili ijulikane kuwa ana mali nyingi na watu washawishike kukifanya anachofanya baadaye eneo hilo liliuzwa kwa kampuni.
Mauti.
Michael Jackson amefariki mnamo tar. 25 Juni 2009 baada ya kuwaishwa katika hospitali ya UCLA Medical Center.[5] Ilifikiriwa kwamba alipata mshtuko wa moyo , ikiwa na maana kwamba moyo wake ulisimama na imeonekana ya kwamba sababu yake ilikuwa matumizi mabaya ya madawa mengi mno lakini ukweli ni kuwa aliuawa maana alikuwa anataka kuitoa siri ya freemason hivyo wakamuwai.[6] At 4:36 pm local time, the Los Angeles coroner confirmed Jackson's death.[7]
Wakati wa umauti wake, Jackson alikuwa na umri wa miaka 50. Tetesi za habari za kifo cha Jackson, kimevunja rekodi ya mtandao na kusababisha msongamano mtandaoni[8] kwa kuwapa tabu Google, Twitter, Facebook, na Yahoo msongamano mkubwa wa utafutaji wa habari zake.[9][10]
Hizi ni albamu.
Albamu



Viungo vya nje


Michael Jackson




Kompilesheni Zake


Matoleo Mengine


The Wiz Thriller Captain EO Moonwalker "Stark Raving Dad" Ghosts Men in Black II Miss Cast Away Dome Project


Makala zinazohusiana
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments: