135. Na wakasema: Kuweni Mayahudi au Wakristo ndio mtaongoka. Sema: Bali
tunashika mila ya Ibrahim mwongofu, wala hakuwa katika washirikina.
136. Semeni nyinyi: Tumemuamini Mwenyezi Mungu na yale tuliyo teremshiwa sisi,
na yaliyo teremshwa kwa Ibrahim na Ismail na Is-hak na Yaakub na wajukuu zake,
na waliyo pewa Musa na Isa, na pia waliyo pewa Manabii wengine kutoka kwa Mola
wao Mlezi; hatutafautishi baina ya yeyote katika hao, na sisi tumesilimu kwake.

0 comments:
Post a Comment