UFUNGUE MLANGO WAKO LEO NA ITUNZE HESHIMA YAKO.

#Kijana Ufungue mlango wako leo na itunze hekima yako leo:
Mara nyingi katika maisha ya Mwanadamu kuna mambo kadha wa kadha yanayo mpelekea kufanya makosa makubwa kwa madogo" Huku makosa hayo yakizidi kumshusha heshima mwanadamu. Leo ningependa tugusie makosa makubwa na Madogo yanayoweza kumwangusha mwanadamu na kumvunjia Heshima yake! Kwanza tukianza na jambo la kwanza ambalo ni...ULIMI.
#ULIMI ni kiungo bora lakini vilevile chaweza kukuvunjia Heshima yako mpaka ukaonekana hauna maana yoyote" Mfano unamkuta Kijana kavalia sawa mpaka ukimtizama unasema kweli Neema zimekaa. Lakini tazama jinsi ulimi unavyokuja kumvunjia Heshima" Utamsikia maneno ya kimtoka pale anapokumbwa na hari ya kuudhiwa" utamsikia akitoa maneno machafu sana kama"" Huyo Msenge" nikimkamata atanikoma" Huku wengine utamsikia "Kumamake" atanikoma. Kha!! Yani pale pale kijana mwenye kuyatamka maneno hayo uonekana kama akili azimtoshi. Sasa wewe kama kijana unayejielewa kwanini unakubali Ulimi wako utumike kwenye maneno machafu? Je unajua maana ya neno "MSENGE" au neno "KUMAMAKE" ?? Ukweli inauma sana maana vijana wameshindwa kufungua mlango wa stala na hekima. Na hii imepelekea Kijana anayetokwa na hayo maneno machafu kuonekana yuko mjanja saaana kumbe ajui kuwa anajishusha kutokana na Ulimi wake huo na ajui kuwa anamchikiza Mola wake pia.

#MWISHO daima angaza inapenda kukujuza wewe kijana kuwa huu ndio mda wako wa kuutumia Ulimi wako kunena yaliyo ya kheri" Ulimi huo huo ebu utumie kunena mafundisho mema sio kusema " MSENGE" , KUMAMAKE" , MWANANGU, n.k
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment