SHEKHE LEO HII NDANI YA KANISA!!!!!!!!! WATAJULIKANA WAUMINI WA KWELI.

Shekh Hamza Issa ukweli utabaki palepale maana vyote vitapita ila maneno ya QUR'AN yatabaki mpaka mwisho wa Dunia! (Siku ya malipo)

Sijui ni tamaa za kiulimwengu ????? Ila Mashekh mnayo kazi ya kusimama na kuiweka kweli jahazi linazama la Uislam maana mwenye Elimu wamekuwa wa tamaa tu.
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment