NI HARAMU KUMLAMBA UTUPU MKEO/ MMEO KATIKA DINI YA KIISLAM.

Hakika itakuwieni siku ngumu wewe mwenye kufanya mapenzi kinyume kinyume ' huu ni wakati ambao wanadamu wanaendesha mambo kama wanyama maana wamekuwa ni wenye kuwaiga wazungu na hao ndio waliokwisha kuzidhulumu nafsi zao. Ukifanya fanyeni,Ukiacha acheni maana kila nafsi itahesabiwa kwa kile ikifanyacho.
EWE KIJANA WA KITANZANIA JITAMBUE na MUUOGOPENI "ALLAH"https://www.hrw.org/sites/default/files/media/images/photographs/image001_271.jpg
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment