Ilifanywa siri ila sasa sio siri tena ukweli unazidi kuwekwa wazi tena hata asiyeelewa hivi sasa ataelewa tu kuwa baada ya TORATI ilifanywa KUMBUKUMBU YA TORATI na baada ya INJILI KAMILI iligawanywa na kufanywa kalamu za divai''''Baada ya ZABURI imefanywa nyimbo za kuolea na mapambio tu..........Hakika imeandikwa YULE ANAYETUNDIKWA MSARABANI ITAKUWA AMELANIWA......
kuwa makini sasa UFUNUO 13:16-18 hakika huyu ndiye shetani na vijana umkimbilia tu
tumrudie Mwenyezi Mungu wa kweli "ALLAH .......................Danieli 9:4-7 japokuwa imefichwa na kuandikwa "Ah" huyo ndiye ALLAH japokuwa wamezipunguza "LLA ikabaki Ah ila ni wazi kuwa hakika mnafanyiwa madhehebu ili mfanye ibada huko lakini nakwambieni kuwa waanzilishi wa madhehebu hayo wameipotea njia na shetani uwaongozeni katika safari ya moto Tito 3:10-11
............daima watakufundisha waliyoyandika kwa mikono yao ili uonekane uko salama na wao kumbe ndio haohao watakao kupeleka jehanamu.......FILEMONI 1:19-25 hakika manabii wa uongo watawaandikieni ninyi ili mdhanie mko salama.

0 comments:
Post a Comment