DUNIA INAENDA WAPI ?UINGEREZA " WATOTO WA KIUME WANAVAA SKETI SHULENI

Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema mwenye kurehemu"" Ameumba dume na Jike ili kusiwepo kuitalifiana katika mambo ya kidunia"" Lakini tazameni Ibilisi alivyo na iyana yeye utaka dume na jike viwe sawa mpaka leo hii Ibilisi ameendelea kuwapoteza wanadamu mpaka wanafikia hatua ya mme kuwa na mahusiano na mme mwenzie!!!! Hakika ilinenwa "Jiadhalini na yule mwovu" Ila Ibilisi ameibadili hii kauli na kuifanya "Kaeni na yule mwovu"""
#Je unadhani kuwepo kwa vitimbi kama hivi katika dunia hii ni kutokana na Mwenyezi Mungu??? LA! ni Ibilisi ndiye mwenye kuchochea ili awapate wafuasi wengi wa kuingia naye motoni.
Yaliyotokea India yanaumiza sana" maana ikifika wakati mtu mwenye akili timamu anaruhusu watoto wa kiume wavae mavazi ya kike basi tujue kuwa yanatimia maandiko na inakaribia siku ya hukumu itokayo kwa Mwenyezi Mungu muweza wa yote (ALLAH)
Hili limetokea Uingereza" shule moja inayojulikana kama"Longhill iliyoko eneo la Rottingdean, Sussex" Ingawa mimi na wewe tunaweza kujiuliza watoto wanaanza vipi kuvaa mavazi ya kike na huku wana walimu walezi hapo mashuleni!! Lakini ukichunguza kwa makini utaweza kuona kuwa katikati kuna kitu nacho ni New World Order" Hii ni siri kubwa ya jamii ya Ibilisi(Freemasons) wao wana malengo makubwa moja wapo ni kuanzisha utawala wa dunia mpya ambayo itakuwa na mamlaka ya watu (jamii ya waabudu Shetani) na ukiangalia kwa kina utaona maandalizi yao yameanza toka zamani na leo hii wanazidi kuandaa" Hivi kama kweli shule inaruhusu watoto wa kiume wavae mavazi ya kike unadhani huo ulimwengu unaoandaliwa utakuwa wa namna gani???? Na alipoulizwa mwalimu mkuu wa shule hiyo "Adam Pettitt" alisema kuwa ili suala linatokana na wazazi wenyewe awafuatilii watoto wao. Lakini ukiliangalia hili utagundua vilevile kuwa hiyo kauli ina mapungufu maana aiwezekani mzazi/ mlezi alipie ada ya £6,790 alafu ashindwe kumjua mtoto wake kuwa anavaa sketi badala ya suruali.
Takwimu pia zinaonyesha idadi ya vijana wanaotaka kubadilisha jinsia yao inaongezeka nchini Uingereza .
Mnamo mwaka 2011, mvulana aitwaye  Chris Whitehead mwenye umri wa miaka 12 alikutwa amevaa  sketi na kwenda nayo shuleni baada ya kukerwa na sheria kuhusu sare katika shule ya Impington Village College, karibu na Cambridge.
Wanafunzi mashuleni hawaruhusiwi kuvalia sketi na  dunia nzima inalijua hilo . Mara nyingi wanapoulizwa wahusika yaani watoto udai kuwa linapokuwepo joto wao uona ni bora kuvaa sketi badala ya suruali" na mwaka uliopita, kundi la wavulana katika shule ya Longhill eneo la Rottingdean, East Sussex walivalia sketi na walipoojiwa walidai wanaisi joto. Lakini mimi na wewe tujiulize kweli mtoto anaweza kufanya maamuzi hayo kama hakuna anayemsupport kwa hilo?????
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment