• Home
  • About
  • Contact
  • Error Page

DAIMA ANGAZA

DAIMA ANGAZA
  • Home
  • QUR'AN TAFSIRI
    • DAIMA ANGAZA YOUTUBE
  • SIKILIZA MAWAIDHA
  • ALHIDAYA
  • DUA TAFSIRI
  • MAAJABU YA QUR'AN

LOVE IT LIVE IT

JOIN US NOW DAIMA ANGAZA

JOIN US NOW DAIMA ANGAZA

Popular

  • ADHKARI ZENYE MALIPO MAKUBWA KWA ALLAH PAMOJA NA MATUMIZI (In Shaa Allah ) DANI YA DUA
    Adhkaar Zenye Thawabu Maradufu Duaa - Adhkaar   www.alhidaaya.com Zifutazo ni Adhkaar ambazo Muislamu anapozisoma, atajic...
  • NELSON MANDELA is an Illuminati 46664 Ufunuo 13:15-18 and SURAT baqara 2:120
    Mandela Is An Illuminati 4( 666 )4 The 46664 thing has 666 in the middle of  (important to Freemasonry)   IMETIMIA ufunuo 13:15-18...
  • FREEMASONS KATKA UPOTOSHAJ WA UISLAMU DUNIANI! JE, MIMI NA WEWE TUNAWAJIBIKA VIPI?
    FREEMASONS KATKA UPOTOSHAJ WA UISLAMU DUNIANI! JE, MIMI NA WEWE TUNAWAJIBIKA VIPI?
    FREEMASONS KATIKA UPOTOSHAJI WA UISLAMU DUNIANI!  JE, MIMI NA WEWE TUNAWAJIBIKA VIPI? ...
  • MWANAMKE AU MWANAMME???? BINTI AU KIJANA????? Inakuhusu sanaaaaaa.
    MWANAMKE AU MWANAMME???? BINTI AU KIJANA????? Inakuhusu sanaaaaaa.
      MWANAMKE AU MWANAMME ???? BINTI AU KIJANA ????? Bibi Fatima (A.S) Kiigizo Chema Kwa Wanawake Bibi Fatimah (a.s.) ni mwanamke...
  • IJUE KWELI ILI UWE HURU (DINI YA KWELI YA MWENYEZI MUNGU NI HIPI????
    IJUE KWELI ILI UWE HURU (DINI YA KWELI YA MWENYEZI MUNGU NI HIPI????
    DINI YA KWELI YA MWENYEZI MUNGU DINI YA KWELI YA MWENYEZI MUNGU NI IPI? Kila mtu huzaliwa katika ...
  • DAIMOND PLATNUMZ & MICHEAL JACKSON UKWELI HUKO WAZIIIIIIIIIIIIIIIIII
    DAIMOND PLATNUMZ & MICHEAL JACKSON UKWELI HUKO WAZIIIIIIIIIIIIIIIIII
    Maelezo ya awali Jina la kuzaliwa Michael Joseph Jackson Amezaliwa 29 Agosti 1958 Gary, India...
  • DOWNLOAD EDK ELIMU YA KIISLAM KIDATO CHA KWANZA
    Jifunze pata elimu Kiislam Kwa masomo ya EDK ELIMU YA DINI YA KIISLAM Bofya hapa √√√√√©√√√√√
  • UISLAMU UNAPIGWA VITA NA FREEMASONS DUNIANI SABABU YAKE NINI?  SOMA KWA MAKINI.
    UISLAMU UNAPIGWA VITA NA FREEMASONS DUNIANI SABABU YAKE NINI? SOMA KWA MAKINI.
    UISLAMU UNAPIGWA VITA NA FREEMASONS DUNIANI SABABU YAKE NINI? SOMA KWA MAKINI.. Sababu yake ndugu msomaji ni kwamba, baada ya ...
  • BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.
    BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.
  • HUKUMU YA KUJICHUA..........ke/me    join with ANGAZA & Alhidaaya
    HUKUMU YA KUJICHUA..........ke/me join with ANGAZA & Alhidaaya
    Lengo la ANGAZA ni kumwangazia yule anayefanya kitu akizania ni sahihi kumbe ni kuelekea katika ghadhabu za Mwenyezi Mungu.   ...
Home / Uncategories / MWENYEZI MUNGU UOMBWA SIO KIAMRISHWA.

MWENYEZI MUNGU UOMBWA SIO KIAMRISHWA.

DAIMA ANGAZA July 01, 2017

Matumizi Ya ‘In Shaa Allah’ ndani ya du’aa

Haifai, pale Muislamu anapomuomba Allaah kusema, “Ee Allaah nisamehe iwapo utapenda!” Pindipo unapoomba kitu kutoka kwa Allaah, mtu asifanye du’aa yake kuwa na shaka katika uwezo wa Allaah, lakini kinyume chake ni lazima awe na uhakika wa dhana njema kwamba Allaah Ataijibu du’aa yake. Imenukuliwa kutoka Hadiyth sahihi iliyosimuliwa na Abu Hurayrah akisema:

Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Asiseme mmoja wenu ‘Ee Allaah! Nisamehe iwapo Unapenda; Ee Allaah, kuwa na Rahmah kwangu iwapo Utapenda,’ lakini ni lazima awe na matumaini kwa Allaah yenye uhakika, kwani hakuna mtu anayeweza kumlazimisha Allaah kufanya kitu dhidi ya Uwezo Wake.)) [Imepokewa na Muslim]

“Kuomba kwa Allaah pamoja na yakini” inamaanisha kwamba mtu asimuombe Allaah kwa maneno ya ‘lakini’ au ‘iwapo’ lakini anatakiwa afanye maombi ya uhakika na kutilia mkazo katika jambo hilo. Inakatazwa kutumia maneno kama hayo kwa hoja mbili:

·  Hakuna mtu mwenye nguvu ya kumlazimisha Allaah kufanya kitu Asichokitaka; Anafanya tu kile Anachokitaka. Tofauti na Allaah, waja wanaweza kulazimika kufanya vitu kutokana na hofu na mfano wa hayo.

· Kufanya maombi katika hali ya kuwa na shaka kwa Uwezo wa Allaah inaonesha udhaifu wa maombi na ukosefu wa hamu ya kuipaita du’aa hiyo jibu; ukosefu wa yakini katika hapa unamaanisha kwamba mtu hana haja ya Allaah.

Katika simulizi nyengine iliyopokewa na Muslim, Mtume (Swalla Allaahu ‘alayhi wa aalihi wa sallam) anathibitisha kwamba du’aa ifanywe kwa yakini kamilifu, na mtu asisitize moja kwa moja hamu yake (mbele ya Allaah) ndani ya du’aa zake, kwani hakuna baraka iliyo kubwa kwa Allaah itakayomshinda kubariki (juu ya waja Wake), hata kama baraka hii itaonekana kuwa ni kubwa mno mbele ya macho ya wengine. Allaah, Mtukufu, Anasema:

{{Hakika amri Yake anapotaka chochote (kile kitokee) ni kukiambia: ‘Kuwa’, basi mara huwa.}} [Yasiyn: 82]
Hivyo, Muislamu anahitajika kuwa na ufahamu wa kina kuhusiana na masharti ya imani ya kweli na halikadhalika mambo yanayobatilisha tawhiyd, ili kwamba aweze kumuabudu Allaah katika misingi thabiti.


* Imechukuliwa kutoka Kitabu cha Shaykh Swaalih Al-Fawzaan ‘Muongozo Wa  Itikadi Sahihi’ Guide to Muslim Creed, chapa ya mwaka 2005, ukurasa wa 139 -141.
 
 
Share on Facebook Share on Twitter Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

RELATED POSTS

0 comments:

Post a Comment

Newer Post Older Post Home
Subscribe to: Post Comments ( Atom )
  • Popular Post
  • Video
  • Category

Popular Posts

  • ADHKARI ZENYE MALIPO MAKUBWA KWA ALLAH PAMOJA NA MATUMIZI (In Shaa Allah ) DANI YA DUA
  • NELSON MANDELA is an Illuminati 46664 Ufunuo 13:15-18 and SURAT baqara 2:120
  • FREEMASONS KATKA UPOTOSHAJ WA UISLAMU DUNIANI! JE, MIMI NA WEWE TUNAWAJIBIKA VIPI?
  • MWANAMKE AU MWANAMME???? BINTI AU KIJANA????? Inakuhusu sanaaaaaa.
  • IJUE KWELI ILI UWE HURU (DINI YA KWELI YA MWENYEZI MUNGU NI HIPI????
  • DAIMOND PLATNUMZ & MICHEAL JACKSON UKWELI HUKO WAZIIIIIIIIIIIIIIIIII
  • DOWNLOAD EDK ELIMU YA KIISLAM KIDATO CHA KWANZA
  • UISLAMU UNAPIGWA VITA NA FREEMASONS DUNIANI SABABU YAKE NINI? SOMA KWA MAKINI.
  • BODI YA MIKOPO KWA WANAFUNZI WA VYUO VIKUU.
  • HUKUMU YA KUJICHUA..........ke/me join with ANGAZA & Alhidaaya

Video Of Day

Labels

  • ANGALIA VIDEO LEO
  • DAIMA ANGAZA HABARI
  • FAHAMU SASA
  • MAWAIDHA DAIMA ANGAZA
  • MIADHARA
  • QUR'AN AUDIO
  • SHIRIKI NA MADHARA YAKE

Find Us On Facebook

Ingia Uwanja wa FACEBOOK kisha search....Daima Aangaza hili kuwasiliana na DAIMA AANGAZA like na kucomment pia hili tuweze kuijenga kesho.
DAIMA ANGAZA
Powered by Blogger.
  • Home
  • About
  • Contact
Created By Sora Templates & Free Blogger Templates
  • Home
  • JAMII YA DAIMA
  • MAWASILIANO
  • Open Page