INAKARIBIA KUPASUKA

 
Inakaribia kupasuka MBIGU na vyote vilivyomo ardhini kutokana na uchafu wa mwanadamu. Ivi kweli kwa mtu mwenye utimamu na uelewa juu ya kuumbwa kwake na kuwepo hapa duniani anaanzaje kuwa katika mwonekano huu??? je ukiachilia mbali yeye kuwepo katika mfumo huu hivi huyo mtoto kesho na kesho kutwa yake hipi nusura yake???? Je Mwenyezi Mungu katuumba kwa ajili ya hili hapa duniani? na Je wafunza nini wewe kama mzazi na mlezi wa mwana wako??? 
Hayo ni maswali ambayo ni muhimu kujiuliza maana kutokana na kuasi kwa mwanadamu hakika Mbigu na vyote vilivyomo duniani vinakaribia kupasuka kutokana na kile afanyacho MWANADAMU. Hivi wewe kama mdau wa ANGAZA ulishawahi kujiuliza kwanini wanadamu tumekoseana aibu???? na haishii hapo tumekosa aya kwa Mola wetu! hakika vyovyote upendavyo fanya lakini kaa ukijua ya kuwa marejeo ni kwake yeye aliye kuumba na kuiumba Mbigu na Ardhi na kwake hukumu itasimama kwa haki wala hatodhulumiwa yeyote katika vitendo vyake. Vikiwa safi malipo yako ni kwa MOLA wako na vikiwa si safi malipo yako ni kwa MOLA wako'' hakika haitodhulumiwa nafsi ya kila kiumbe.
Lakini wakati haya yakiendelea kufanyika na kuwa dhahili ni wazi kuwa kiapo cha Shetwani kinaendelea kutimia lakini pia kiapo cha Mwenyezi Mungu cha kumuhukumu Shetwani na wafuasi wake kinaendelea kutimia na kwa hili hakuna shaka.
Hakika SHETWANI kauweka uwakala wake nao ni huu (666) na Naye Mwenyezi Mungu akumuacha mwanadamu atange tange akawaleta MANABII na MITUME ili kila mwenye kuamini awe huru kutoka katika fitina ya SHETWANI na wakala wake (666) 
Ufunuo 13:16-18
***********************************ANGAZA*********************************   

Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment