Bibi mmoja nchini Italia aitwaye Emma Morano amefariki dunia huko Italia alizaliwa tarehe 29 mwezi Novemba mwaka 1899 eneo la
Piedmont nchini Italia. Ndiye mtu wa misho aliyezaliwa miaka ya 1800
ambaye bado alikuwa hai na kuna mambo mengi aliyokuwa anahusika nayo kwenye dayosisi ya kanisa la Catholic" Ingiwa zipo sababu zilizo tolewa na wanafamilia kuwa bibi huyu kufikisha miaka hiyo 117 imatokana na bibi huyu kula mayai sana"" Nadhani hiyo ni kauli ya fumbo maana haimanishi ,mtu akila mayai sana ataishi sana bali ni MWENYEZI MUNGU mwenye kuyajua haya yote yanayofichwa na yanayo wekwa hadhalani.
#Binadamu kuishi umri mrefu ni mapenzi ya MWENYEZI MUNGU wala sio chakula wala, kinywaji.
#Binadamu kuishi umri mrefu ni mapenzi ya MWENYEZI MUNGU wala sio chakula wala, kinywaji.
Bibi mmoja nchini Italia aitwaye Emma Morano amfariki dunia huko Italia alizaliwa tarehe 29 mwezi Novemba mwaka 1899 eneo la Piedmont nchini Italia. Ndiye mtu wa misho aliyezaliwa miaka ya 1800 ambaye bado alikuwa hai na kuna mambo mengi aliyokuwa anahusika nayo kwenye dayosisi ya kanisa la Cathoric" Ingiwa sipo sababu zilizo tolewa na wanafamilia kuwa bibi huyu kufikisha miaka hiyo 117 imatokana na bibi huyu kula mayai sana"" Nadhani hiyo ni kauli ya fumbo maana haimanishi ,mtu akila mayai sana hataishi sana bali ni MWENYEZI MUNGU mwenye kuyajua haya yote yanayofichwa na yanayo wekwa hadhalani.
ReplyDelete#Binadamu kuishi umri mrefu ni mapenzi ya MWENYEZI MUNGU wala sio chakula wala, kinywaji.