DAIOMOND PLATNUMZ AAMUA KUANGAMIZA ZAIDI.

HAKUNA anayeweza kubisha kuwa huyu jamaa amekuwa mstari wa mbele kuakikisha anaaribu maadili ya vijana wa kiTanzania na jamii nyinginezo kutoka kila kona" Ni wazi kuwa uongo unapokidhili basi ukweli ujidhiilisha......Ukweli ni kwamba Diamond Platinumz Mwanamziki kutoka nchini Tanzania amechangia sana kuaribika kwa maadili ya vijana asa wale wanao muunga mkono kwa hiki anacho kifanya" Vijana wengi ucopy na paste bila ya kujua wanamkopi mtu wa aina gani!!! Juzi msanii huyu ameweza kuzindua manukato aliyo yapa jina la Chibu Perfume na manukato hayo inasemekana yana mchanganyiko utakao kuwa unamfanya mtumiaji wa manukato hayo kuwa na michecheto (kupayuka payuka). Yeye anadai ameamua kuanzisha mpango wa kuuza manukato hayo kutokana na jina lake la utani la Chibu Dangote alilocopy kutoka kwa mwenye jina hilo Dangote. Taarifa zaidi zinasema msanii huyu ameamua kuyauza manukato hayo kwa thamani ya Tsh.105,000/= za kitanzania na hii imetokana na gharama ya yeye kuweka nembo za mauzo kuwa ghali kwake na ndio maana inauzwa kwa gharama hii. Na ili linafanyika kwa mpango wa kujifanya anaanzisha bihashara kumbe lengo ni kuwafanya vijana wazidi kuemuka (kupayuka payuka) na kushindwa kupata mda maalum wa kutafakari maneno ya MWENYEZI MUNGU wakalie kucheza na kuimba kama wasemavyo sasa vijana (maisha na muziki)


Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment