INAMENI NA WANAO INAMA UPATE KUSALI MAANA VITA YA DUNIA YAJA.

Kutokana na kile kinachoitwa UTAWALA WA DUNIA MPYA (New World Older) tazama sasa kinazidi kupamba moto na hii ni kutokana na tawala hizi mbili Marekani na Korea Kaskazini kuanzishi ligi hiyo ya uwagaji damu na mpango huu unafanyika si kwamba hawajui wanafanya nini bali wanataka waonekane wanapigana wao kumbe anayetafutwa hapo ni wewe na mimi. Je' unadhani kwa hili mtoto wa Donald Trump atakumbwa na janga hili!!??? au unadhani familia ya Jong-un atafikwa na tatizo hili!!??? Ni wazi kuwa wakati mabomu yanazidi kulindima wanaoripotiwa kufa ni watu wa kawaida yaani wananchi wasio na hatia ya kile kinachoendelea hii inafanyika ili kuhakikisha wanatiza ndoto yao ya siku moja waitawale Dunia yaani dunia itawaliwe na taifa lenye mamlaka ya Ibilisi na ndio maana dunia ya sasa inaonekana inaandaliwa katika mpango huu wa (New World Older) huu ni mpango wa dunia ambayo itakuwa sawa kwa wale wasio waumini wa kweli yaani wale wasiokuwa wacha Mungu na itakuwa kama gereza kwa wale wacha Mungu. Kwahiyo ni mimi na wewe kuakikisha tunashikilia maafundisho ya Mwenyezi Mungu nayo ni Qur'an na wale watako kubali kutawaliwa na Ibilisi wala hawatokuwa na shaka kwa hiki kinachokuja (New World Order) 

#Inasemekana toka kumalizika kwa vita ya pili ya dunia mataifa haya mawili yaani Marekani na Korea ya Kaskazini hayakuwa sawa maana kila mmoja anajitambia kwa zana za kivita alizo nazo na kila taifa hapa linatafuta kuimiliki hii dunia. Huu ndio ukweli ambao mara nyingi unafichwa na vyombo vya habari vilivyo ngazi za juu. Lakini ebu mimi na wewe tujiulize Je hayo mabomu na vifalu ni kwa ajili ya miti au wanadamu??? na kama ni kwa ajili ya wanadamu unadhani kuna kupona kwa yule atakaye kataa kufuata mipango yao??? Je vilevile tujiulize yanasemaje maandiko kuusiana na Ibilisi??? Nadhani wewe kama ni mpingaji wa haya utakuwa unaelewa kinachosemwa na DAIMA ANGAZA lakini kama wewe ni muungano na wao utayapinga haya.
Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wamekuwa wakijibizana vikali kuhusu mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kuzalisha  silaha za nyuklia na pia kufanyia majaribio ya makombora; jambo ambalo taifa hilo haliruhusiwi na Umoja wa Mataifa.
Marekani ilituma kundi la meli zake za kivita karibu na Korea Kaskazini, jambo ambalo liliikera Korea Kaskazini na kuamua kutoa kauli ya kuwa haitacha majaribio hayo ya makombola na nyukilia . Ila kwa mweye akili ataitaji kujua majaribio hayo yana adhari kwa mwanadamu na kama yana adhari kuna umuhimu wa kuwa nayo hapa duniani??
#NADHANI NI WAKATI WETU SASA KUAKIKISHA TUNASALI NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUNUSULU NA HAYA YANAYOTOKEA HAPA ULIMWENGUNI.
Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

1 comments:

  1. Kutokana na kile kinachoitwa UTAWALA WA DUNIA MPYA (New World Older) tazama sasa kinazidi kupamba moto na hii ni kutokana na tawala hizi mbili Marekani na Korea Kaskazini kuanzishi ligi hiyo ya uwagaji damu na mpango huu unafanyika si kwamba hawajui wanafanya nini bali wanataka waonekane wanapigana wao kumbe anayetafutwa hapo ni wewe na mimi. Je' unadhani kwa hili mtoto wa Donald Trump atakumbwa na janga hili!!??? au unadhani familia ya Jong-un atafikwa na tatizo hili!!??? Ni wazi kuwa wakati mabomu yanazidi kulindima wanaoripotiwa kufa ni watu wa kawaida yaani wananchi wasio na hatia ya kile kinachoendelea hii inafanyika ili kuhakikisha wanatiza ndoto yao ya siku moja waitawale Dunia yaani dunia itawaliwe na taifa lenye mamlaka ya Ibilisi na ndio maana dunia ya sasa inaonekana inaandaliwa katika mpango huu wa (New World Older) huu ni mpango wa dunia ambayo itakuwa sawa kwa wale wasio waumini wa kweli yaani wale wasiokuwa wacha Mungu na itakuwa kama gereza kwa wale wacha Mungu. Kwahiyo ni mimi na wewe kuakikisha tunashikilia maafundisho ya Mwenyezi Mungu nayo ni Qur'an na wale watako kubali kutawaliwa na Ibilisi wala hawatokuwa na shaka kwa hiki kinachokuja (New World Order)

    #Inasemekana toka kumalizika kwa vita ya pili ya dunia mataifa haya mawili yaani Marekani na Korea ya Kaskazini hayakuwa sawa maana kila mmoja anajitambia kwa zana za kivita alizo nazo na kila taifa hapa linatafuta kuimiliki hii dunia. Huu ndio ukweli ambao mara nyingi unafichwa na vyombo vya habari vilivyo ngazi za juu. Lakini ebu mimi na wewe tujiulize Je hayo mabomu na vifalu ni kwa ajili ya miti au wanadamu??? na kama ni kwa ajili ya wanadamu unadhani kuna kupona kwa yule atakaye kataa kufuata mipango yao??? Je vilevile tujiulize yanasemaje maandiko kuusiana na Ibilisi??? Nadhani wewe kama ni mpingaji wa haya utakuwa unaelewa kinachosemwa na DAIMA ANGAZA lakini kama wewe ni muungano na wao utayapinga haya.
    Rais wa Marekani Donald Trump na Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un wamekuwa wakijibizana vikali kuhusu mpango wa Korea Kaskazini kuendelea kuzalisha silaha za nyuklia na pia kufanyia majaribio ya makombora; jambo ambalo taifa hilo haliruhusiwi na Umoja wa Mataifa.
    Marekani ilituma kundi la meli zake za kivita karibu na Korea Kaskazini, jambo ambalo liliikera Korea Kaskazini na kuamua kutoa kauli ya kuwa haitacha majaribio hayo ya makombola na nyukilia . Ila kwa mweye akili ataitaji kujua majaribio hayo yana adhari kwa mwanadamu na kama yana adhari kuna umuhimu wa kuwa nayo hapa duniani??
    #NADHANI NI WAKATI WETU SASA KUAKIKISHA TUNASALI NA KUMUOMBA MWENYEZI MUNGU ATUNUSULU NA HAYA YANAYOTOKEA HAPA ULIMWENGUNI.

    Email ThisBlogThis!Share to TwitterShare to Facebook

    ReplyDelete