Blog hii haifungamani na dini yoyote ile ipo kwa lengo la kuakikisha unapata mafundisho yote yanayolenga kuelimisha kijana/wazee'' binti/ mama. Kupitia blog hii unaweza kuchangia juu ya kile kinachopatikana kwenye blog hii ikiwemo kurekebishana, kuelimishana na kuitafuta kweli ili tuwe huru. Vilevile Kuna masomo mengi ya aina zote katika blog
hii pia kuna mafundisho juu ya Waislam kuijua FIQHI (sheria) katika uislam na Ubainisho wa maandiko kwa wale wasio kuwa Waislam. Hata wewe unakaribishwa kuchangia au kushiriki katika blog hii ya DAIMA ANGAZA. Pia usisite kututembelea katika akaunti yetu ya mtandao wa Facebook tunafahamika kama DAIMA ANGAZA. Mwenyezi Mungu ni mwingi wa kurehemu akubariki sana Anuani zetu ni millionver6@gmail.com.
Ubarikiwe sana.
This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
0 comments:
Post a Comment