Je wajua kuwa kuishika simu yako unawapa data freemasons na unawaonyesha nambari yako ya siri mpaka sehemu uliopo?
Wataalam wa mawasiliano ya simu katika chuo kikuu cha Newcastle walichambua jinsi watu walivyozishika simu zao na kuanza kufanya mambo yaom huku wakidhania wako salama kwa simu hizo"" Ila awajui kuwa wakati wanapokuwa wanaweka nambari zao za siri ili kuweza kuziwasha simu zao GPS ya simu uwa iko ON na kuzichukua DATA za hiyo simu na wakati mwingine kuchukua nambari ya siri na hapo ndipo mtu atajikuta anapiga picha au kurekodi video lakini mda picha hiyo ataikuta mtandaoni au video yake aliyokuwa anarecord kwa siri. Na kwa kiribithisha hiliWataalam wa mawasiliano ya simu katika chuo kikuu cha Newcastle walisema kuwa asilimia 70 nambari zote za siri zenye tarakimu nne baada ya mtumiaji wa simu kujaribu mara moja tu kuweka kwenye simu yake basi uwa zinachukuliwa na wadukuzi hao maalumu wa Kifreemason na kwa asilimia 100 wanaweza kuzitambua nambari walizo kwisha zibadili wao kwa watumiaji wa simu baada ya mtumiaji simu yake kujaribu mara tano nambari ya siri.Wataalam hao wa maswala ya teknolojia wanasema makampuni ya teknolojia yanayofahamu tatizo hili kuwa linawakumba watumiaji wa simu lakini hawawezi kulifanyia kazi kwa kuwa wanauelewa mpango huo kuwa ni moja ya mbinu za kuwajua vizuri wanadamu ili waweze kutawaliwa sehemu zote.
Dkt. Maryam Mehrnezhad kutoka shule ya kompyuta sayansi ya chuo hicho amesema: "Simu nyingi aina ya 'smartphones' na 'tablets' zimewekwa sensa.
Lakini kwa kuwa tovuti nyingi na programu za simu hazilitambui hili kabla ya kutumia propgramu hizi, ni rahisi sana kupata data za kila mtumiaji kifaa chochote chenye mawasiliano ya GPS. mfano leo hii ukitaka kuitumia simu yako au computer yako lazima uwe na kadi yoyote ya kufanikisha utumiaji hasahasa wengi wanatumia kadi za mitandao ya kijamii mfano laini za VODACOM, ZAIN, ZANTEL, HALOTEL, TIGO, SMARTCARD nk. Na mtumiaji wa laini hizi ni ukweli kuwa lazima awe amejisajiri katika mtandao husika kwa kutumia Jina kamili, tarehe ya kuzaliwa, mwezi mpaka mwaka na lazima awe na kitambulisho chochote ama cha kupiga kura, kadi ya benki, leseni, barua ya uongozi wa mtaa n.k . Haya ufanyika ili mfumo wa Kiifreemason wa GPS uweze kupata data za kila mtumiaji wa chombo hicho. Na ni uwazi ulio wazi kuwa lengo la wayahudi kuunda mfumo huu wa GPS ni kuakikisha wanaitawala dunia hii na wanaifanya dunia hii inakuwa ndani ya mfumo wa Ibilisi (666) na wanajua kuwa awawezi kuwatawala wanadamu ila mpaka wawatengenezee mfumo watakaojiisi wako salama kumbe wanasajiliwa katika chama cha mashetani kinachoongozwa na Ibilisi kinacho tumia alama ya (666) Ukisoma katika Biblia wamefaamishwa kama Wanyama mwitu na alama yao ni (666) UFUNUO 13: 14-18 Na kwenye QUR'AN tukufu wameelezwa kwa jina la Ajuja wa Maajuja.
Dkt Mehrnezhad anasema kuwa: "Ukifungua kurasa kwenye baadhi ya tovuti au kuwasha simu ya basi simu yako uchukuliwa data kupitia GPS, na ata kama utafungua tovuti na kuiblock na ukaamua kufungua nyingine, ile ya kwanza ina uwezo wa kunakili maelezo yote ya kibinafsi unayotoa. na mara nyingi kuna simu ukifungua mifuniko yake utaona kama kuna kikalatasi lakini ukikichana kikalatasi hicho utaona kuna viwaya kama viwili au kimoja au nyingine utaona ina kilenzi mbele ya screen yake kinakaa kinawaka au kama kinafrash bas jua kuwa hiyo ni internalconnection ya GPS yenye uwezo ya kuchuku data pasipo mtumiaji kujua.
Na jambo baya zaidi ni kuwa wayahudi waliweza kuanzisha mfumo huu ambao ulazimisha mkubwa kwa mdogo kujikuta anajiweka kwenye chama cha Ibilisi ama kwa kujua au kutojua kama vijana wengi wanavyozidi kujisajili ndani ya viunga vya mfumo huo kupitia account walizo zianzisha washiriki wa chma cha freemasons nazo ni FACEBOOK, WHATSAPP, TWITTER, GOOGL PLUS, MESSANGER, BBM, YOUTUBE, INSTGRAM n.k maana walijua kupitia hatua hii wataweza kuwateka vijana na ni ukweli usiopingika kuwa vijana mitandao hii imewasahulisha usomaji wa Biblia na kuwapelekea wakikate kitabu cha haki QUR'AN. Na wao uzidi kupata data zaidi kwa yule mwenye tabia ya kuwasha data za internet (online) Watu wanashughulika sana na kamera na programu inayoonyesha ramani, GPS kuliko sensa hizo. Watu hao wanaojiita Wataalamu wakati wanaujua mfumo huo vizuri kuwa unalenga kuwatawala wanadamu wanasema wamegundua kwamba kila unachofanya katika simu iwe ni kupiga simu, kuandika ujumbe au kutafuta kitu hupelekea mtu kuishika simu kwa njia fulani ya kipekee yaani ama kwa kuifumbata, uibania viganja n.k.
Kwa hivyo kwenye mfumo wao uweza kuwafahamisha na kumjua mtu kama amefungua simu au ameingia ndani ya ukurasa upi na nini anacho kiandika au alichokuwa anakiandika, kulingana na jinsi alivyoishika simu yake au kifaa chake .
Wayahudi wameweza kuendesha kampuni zote kuu za teknolojia kama Google na Apple kwa kuakikisha wanaendesha mfumo wao.
ITAENDELEA..............................................
0 comments:
Post a Comment