#Breaking News 23/05/2017
Hii ni taarifa iliyotufikia hivi punde ikidai kuwa Waziri wa
Nishati na madini Sospeter Muhongo ameachishwa kazi na Mh. John Pombe Magufuri…..Kwa
taarifa kama hizi inaonyesha kuwa uwazi uenda ukaibua mambo yaliyokuwa gizani…………….
Inauma sana pale inapofikia hatua ya viongozi wa ngazi za
juu kukumbwa na tuuma zinazo wapelekea kuondolewa madalakani’ Ingawa inakuwa
njia ya kumuumiza muhusika lakini pia inakuwa njia ya kumfurahisha muhusika
(yaani mnyanyashwaji)
*Ukiachilia suala la viongozi wa ngazi za juu kuondolewa
madarakani #Daima Angaza imefanya uchunguzi na kubaini kuwa kumekuwepo na uozo
mkubwa uliokuwa unafichwa na viongozi wa ngazi mbalimbali hasa ngazi za juu
maana wao waliyafumbia macho masuala ya ubadhilifu ambao unatuathiri sana sisi
wananchi wa hari ya chini.
Ukweli ni kwamba haya masuala ya kutimuliwa watu kazi ni
masuala yanayo ibua mijadala mikubwa vichwani mwa watu lakini ndivyo ilivyo
maana hakuna baya lisilo na zuri lake.
0 comments:
Post a Comment