PICHA ZA NGONO NA VIDEO ZAKE NI TIKETI YA MOTONI

Habari yako kipenzi chetu?? Ni matumaini yetu #DAIMA ANGAZA" kuwa kwa mapenzi yake Mwenyezi Mungu uko na afya salama". Leo katika uwanja wetu huu tunajaribu kuangalia japo kwa ufupi madhara ya Mtu yaani kuanzia kwa watoto mpaka wazee kwa wale wenye tabia ya kuangalia Picha/ video za utupu kwanza ni vizuri muhusika wa jambo hili' akajiuliza kwa kina kama kweli ayafanyayo hayo ya kuziangilia picha na video za utupu kama zitamuweka mazingira salama ya Ucha Mungu" na muhusika akisha baini ilo ataacha ama ataendelea". Rejea Qur'an 24:30

Share on Google Plus

About DAIMA ANGAZA

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.

0 comments:

Post a Comment