Kiukweli kumekuwepo na baadhi ya watu hapa duniani wameamua kujialalilishia vyakula walivyo katazwa na Mwenyezi Mungu'' Ni wazi kuwa Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi wa yote na yeye ndiye ajuaye zaidi kwa nini katoa ruhusa ya vyakula viliwe na baadhi visiliwe..................Lakini kutokana na huruka ya mwanadamu pengine kwa kujua au kutojua ujikuta Ibilisi anamshawishi ale vile alivyo katazwa na Mwenyezi Mungu.
Kumbukumbu la Torati 14:8
ukisoma mstari huu kwenye Biblia unagundua kuwa Nguruwe harusiwi kuliwa na hili sio kwamba linamsitaili Muislam tu!!!! Akha! ili ni kwa wanadamu wote ingawa mara nyingi Wakristo uliona hili kama linawahusu Waislam tu wanashindwa kujua kuwa ili ni agizo na amri kwa wanadamu wote kuwa hawaruhusiwi kula vile walivyo katazwa na Mwenyezi Mungu.Kumbukumbu la Torati 14: 8 linasema "Na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse".
Sasa ikiwa wewe ni mkristo unazidi kulifumbia macho hili uoni kuwa litakupeleka motoni kwa haki!!???
Isaya 66:17 ..............Warumi 14:21
JAMANI TUWE MAKINI MAANA UKWELI UMEKWISHA FIKA NAO NI NDANI YA QUR'AN hakuna sehemu utaupata mpaka KIHAMA. isionekane Wislam ndio wameamrishwa kutokula Nguruwe inakubidi hata wewe usiyekuwa Muislam ujue hili kuwa nguruwe ni haramu kwa wote.
Kiukweli kumekuwepo na baadhi ya watu hapa duniani wameamua kujialalilishia vyakula walivyo katazwa na Mwenyezi Mungu'' Ni wazi kuwa Mwenyezi Mungu ndiye mjuzi wa yote na yeye ndiye ajuaye zaidi kwa nini katoa ruhusa ya vyakula viliwe na baadhi visiliwe..................Lakini kutokana na huruka ya mwanadamu pengine kwa kujua au kutojua ujikuta Ibilisi anamshawishi ale vile alivyo katazwa na Mwenyezi Mungu.
ReplyDeleteKumbukumbu la Torati 14:8
ukisoma mstari huu kwenye Biblia unagundua kuwa Nguruwe harusiwi kuliwa na hili sio kwamba linamsitaili Muislam tu!!!! Akha! ili ni kwa wanadamu wote ingawa mara nyingi Wakristo uliona hili kama linawahusu Waislam tu wanashindwa kujua kuwa ili ni agizo na amri kwa wanadamu wote kuwa hawaruhusiwi kula vile walivyo katazwa na Mwenyezi Mungu.
Kumbukumbu la Torati 14: 8 linasema "Na nguruwe, kwa kuwa amepasuliwa ukwato lakini hacheui, huyu ni najisi kwenu msile nyama zao, wala mizoga yao msiiguse".
Sasa ikiwa wewe ni mkristo unazidi kulifumbia macho hili uoni kuwa litakupeleka motoni kwa haki!!???
Isaya 66:17 ..............Warumi 14:21
JAMANI TUWE MAKINI MAANA UKWELI UMEKWISHA FIKA NAO NI NDANI YA QUR'AN hakuna sehemu utaupata mpaka KIHAMA. isionekane Wislam ndio wameamrishwa kutokula Nguruwe inakubidi hata wewe usiyekuwa Muislam ujue hili kuwa nguruwe ni haramu kwa wote